Kitenge vipi Diamond amekuchukulia mke au ni wivu tu?

Upuuzi mtupu......kwani pale ni kikaoni? Rais alikuwa ni mwenyekiti au? ...unajua maana ya protocal?boya kabisa wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kasema UKWELI BWANA mtu wenu nae kazidi kila mahali anataka kuwa DIAMOND tuuuuuu...kuna muda ajifunze kuwa NASSIB
 
mhh
 
Upuuzi mtupu......kwani pale ni kikaoni? Rais alikuwa ni mwenyekiti au? ...unajua maana ya protocal?boya kabisa wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kama sio mwenyekiti, Rais akishaingia mahali basi he the top. Kaangalie kwenye government orders za PROTOCOL and also for security purposes.
Kwa upande mwingine uwezi kumlinganisha raisi wetu na Dai hata kama umpendi Dai bado ni bwana mdogo tu kwa umri wa JPM hata kama sio Rais awe na adabu
 
Okay Ngoja waje watu wenye TIMU.
 
Upuuzi mtupu......kwani pale ni kikaoni? Rais alikuwa ni mwenyekiti au? ...unajua maana ya protocal?boya kabisa wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
Mweh kwa hiyo protokali ni vikaoni tu au had rais awe mwenyekiti? Mashabiki wa WCB msome some vimajarida na vitabu mjifunze vile Dunia inaenda msiishie kutazama nyegenyegezi haahaaa
 
Rais alikuwa bado hajafika! Rais alifika mwishoni sana; sikiliza youtube kipindi dai yupo pale mlangoni alikuwa anaongea makonda; Rais amefika shughuli zote za kutoa usia zilisha.
 
Rais alikuwa bado hajafika! Rais alifika mwishoni sana; sikiliza youtube kipindi dai yupo pale mlangoni alikuwa anaongea makonda; Rais amefika shughuli zote za kutoa usia zilisha.

Protocol gani inayomzuia mtu asifike kwenye msiba iwe baada au kabla ya Rais kufika niambie wewe.Msiba sio kikao,kikao cha ofisi bosi ndiye mtu wa mwisho akifika yeye hamna mwengine kufika.
 
Inategemea na Event,inamaa Rais akienda msibani hamna mwengine kuingia? au Kipindi kile Kikwete akiingia kutizama mpira ,yeye akiingia hamna mwengine kuingia? Protocol gani hizo.Nijuavyo mimi kwenye event kama ya msiba Rais anakuwa wa wanza kuaga ,haijalishi kaingia mda gani labda awe na dharula na wa kwanza kuondoka sababu ya security purpose.So protocol zina depend na event ,kwani msiba sio kikao cha ofisi.
 
Kwani wewe ndo mke wa Diamond?
Mbona unamjibia wewe kama nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sehemu aliyopo hakuna mtu anaruhusiwa kuingia akishaingia labda ukae nje.Kwa issue ya Kikwete kwenda mpirani kama ulikuwa unaingia unge note ile sehemu ya VIP imetengwa kidogo na akisha kaa uwezi kuingia tena sehemu ya VIP.Nenda kacheki ila sehemu nyingine wnaingia.Msiba the same ,ona atakapokuwa amekaa raisi uwa wote wanaokuja hata kama ni sehemu ya wazi huwa wanazuiwa mpaka atoke au wanakuwa directed sehemu nyingine kupita na sio sehemu alipo au kunako mzunguka.Check event zote ziwe za mkutano ,sherehe,msiba nk.
 
Mweh kwa hiyo protokali ni vikaoni tu au had rais awe mwenyekiti? Mashabiki wa WCB msome some vimajarida na vitabu mjifunze vile Dunia inaenda msiishie kutazama nyegenyegezi haahaaa
Kajaribu kuingia sehemu raisi ameingia uone kama utaingia.Msibishe kitu hajui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…