Kitenge vipi Diamond amekuchukulia mke au ni wivu tu?


Kwani Rais anakaa,viti vyote vya VIP,alafu Rais anapo hudhuria event yoyote huwaga TISS tayari washa set security permeter yao na wanajua Raisi atakaa sehemu gani, unaweza ukakuta VIP pale viti zaidi ya hamsini wamekaa wao TISS,vile vingene hata uchelewe as long una ticket yako ya VIP utaingia,ila lazima utakaguliwa kwa zile metal detector.

Dada yangu mimi mpira wa miguu ni mpenzi wa mpira kindaki ndaki na Taifa naenda ,hamna kitu kama hicho hamna sema anapokaa yeye huruhusiwi kukaribia ile perimeter waliyo iset na si kutokuingia VIP hamna kitu kama hicho. Mbona tumeona msiba wa Kanumba ,mbona unakuwa muongo hizi protocol mnazitoa wapi.

Protocol zipo ila zinadepend na event .
 
Mkuu huyo kitenge kitaa kinasema sio ridhiki
 
We ni mbishi tu, wengine Kazi zao. Sitaki kuendeklea kuongea kuku ni wengi watakuwa Michele. We unafikiria wanaoingia pale karibu yake baada ya kukaa niwatazamaji jaribu kusogelea uone
 
Ile sehemu watu walipokuwa wanaaga ni sehemu ya ndani. Diamond hakufukuzwa nsibani bali alizuiwa kuingia sehemu ya ndani kwa sababu Rais alishaingia ndani na Rais anakuwaga mtu wa mwisho kuingia na akishaingia hakuna mtu yeyote anaruhusiwa kuingia.
 
Protocol zipo ila zinadepend na event .[/QUOTE]
Uwanjani sehemu Rais anapokaa sidhani kama ni VIP mimi nahisi ni sehemu ya wageni rasmi ambapo hawaingiu na ticket bali wanapewa mwaliko na huwa wanaambiwa wafike kabla ya Rais mfano kweye kadi za harusi wanaposema fika na kadi hii
 
Alafu kuwa mpenzi wa mpira wa miguu kindaki ndaki ndo utajua mambo ya usalama wa Rais?
 
Alafu kuwa mpenzi wa mpira wa miguu kindaki ndaki ndo utajua mambo ya usalama wa Rais?
Manake nimeenda mechi ambazo Rais Kikwete yumo na huwaga nafuatiliaga fainali zote za World cup ambazo wakati wa ufunguzi marais wa nchi husika ndio hufungua mf Putin,Zuma NK na tunaona watu wanaingia kama kawaida ispokuwa ktika zone ya security perimter ndio huruhusiwi..
 
Protocol zipo ila zinadepend na event .

Uwanjani sehemu Rais anapokaa sidhani kama ni VIP mimi nahisi ni sehemu ya wageni rasmi ambapo hawaingiu na ticket bali wanapewa mwaliko na huwa wanaambiwa wafike kabla ya Rais mfano kweye kadi za harusi wanaposema fika na kadi hii[/QUOTE]
Ndicho nilicho elezea na hiyo Zone huitwa Security perimeter,mtu mwengine haruhusiwi kukaa hiyo zone,lakin sehemu nyingine watu huruhusiwa kuingia iwe wamechelewa au la.
 
Ile sehemu watu walipokuwa wanaaga ni sehemu ya ndani. Diamond hakufukuzwa nsibani bali alizuiwa kuingia sehemu ya ndani kwa sababu Rais alishaingia ndani na Rais anakuwaga mtu wa mwisho kuingia na akishaingia hakuna mtu yeyote anaruhusiwa kuingia.
Diamond aliamua mwenyewe kukaa nje,ila hakuruhusiwa kuaga na CMG (sababu wanajua wenyewe),mfano St Peters pale jana wakati wa misa ya majivu mbona Rais aliingia na watu waliochelewa waliingia kama kawa,ila wale Usalama wana eneo lao ambalo wewe huruhusiwi kukaa,wala kulisogelea (Security perimeter).Msiba sio kiako useme ukichelewa hamna kuingia,protocol zipo ila zinategema na event.
 
We ni mbishi tu, wengine Kazi zao. Sitaki kuendeklea kuongea kuku ni wengi watakuwa Michele. We unafikiria wanaoingia pale karibu yake baada ya kukaa niwatazamaji jaribu kusogelea uone

Haya uliona misa ya jana ya majivu St Peters ? Au usha wahi kuangalia makongamano yanayo fanyika Ukumbi wa Mwl Nyerere ?au ushawahi kuangalia ufunguzi wa FIFA WORLD CUP ambazo Rais wa nchi husika ndio hufungua ,kaangalie haya matukio ,alafu ndio utajua kila event ina protocol zake.

"We unafikiria wanaoingia pale karibu yake baada ya kukaa niwatazamaji jaribu kusogelea uone"= hiyo zone ndio huitwa Security Perimeter. Au nipe protocol inayotumika ya kumlinda Rais kipindi kile Kikwete anafanya mikutano ya hadhara kugombea Urais,vp kuna watu waliokuja baada yake hawakuruhusiwa kukaa kwenye mkutano..
 
Mweh kwa hiyo protokali ni vikaoni tu au had rais awe mwenyekiti? Mashabiki wa WCB msome some vimajarida na vitabu mjifunze vile Dunia inaenda msiishie kutazama nyegenyegezi haahaaa
Niliona kwenye msiba wa bush,watu wote waliingia kanisani.MTU wa mwisho ni Trump na mkewe,baada ya hapo jeneza LA bush na familia vikaingia.Angekuwa huko Mbele wangemuweka pembeni,Rais anapokuwepo kwa ishu yoyote lazima apewe kipaumbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…