Kitenge: Yanga sio maadui wa Simba, Simba wametoka ubavuni mwa Yanga

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
YANGA SIO MAADUI WA SIMBA, SIMBA WAMETOKA UBAVUNI KWA YANGA - @maulidkitenge

Kocha Mchezaji, Maulid Kitenge ametoa ushauri wa bure kwa Wasemaji wa Simba na Yanga kufuatia kuitwa katika kamati ya maadili ya TFF.

@sportsarena88.9 #KivumbiSokaLaNyumban
Screenshot_20250305-151002.jpg

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
YANGA SIO MAADUI WA SIMBA, SIMBA WAMETOKA UBAVUNI KWA YANGA - @maulidkitenge

Kocha Mchezaji, Maulid Kitenge ametoa ushauri wa bure kwa Wasemaji wa Simba na Yanga kufuatia kuitwa katika kamati ya maadili ya TFF.

@sportsarena88.9 #KivumbiSokaLaNyumbanView attachment 3259797

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
kwahiyo simba eva na yanga adam
 
Huwa yanga wanajilazisha na kukitutumua kuwa na uhusiano au wakubwa kuliko Simba jambo ambalo sio kweli...yanga ambayo haijawahi kuingia top 10 ya timu bora barani Afrika kwa mujibu wa CAF tokea iyanzishwe..Simba ipo top 10 tokea iyanzishwe mpaka sasa...ukubwa sio muda wa uwazishaji bali ukubwa na ubora wako katika bara lako...Simba ni kubwa sana kuliko yanga hata haifai kulinganisha...
Hata pamba na costa zilianzishwa kabla ya Azam lakini leo Azam ndio timu kubwa.
Yanga ni uchafu mbele ya Simba..kashazoea kubebwa na waamuzi ndio amshinde Simba ila kwa ubora wake hawezi
 
Umemaliza?
 
Yanga ndo timu yenyye makombe mengi zaid

Back
Top Bottom