kwahiyo simba eva na yanga adamYANGA SIO MAADUI WA SIMBA, SIMBA WAMETOKA UBAVUNI KWA YANGA - @maulidkitenge
Kocha Mchezaji, Maulid Kitenge ametoa ushauri wa bure kwa Wasemaji wa Simba na Yanga kufuatia kuitwa katika kamati ya maadili ya TFF.
@sportsarena88.9 #KivumbiSokaLaNyumbanView attachment 3259797
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Umemaliza?Huwa yanga wanajilazisha na kukitutumua kuwa na uhusiano au wakubwa kuliko Simba jambo ambalo sio kweli...yanga ambayo haijawahi kuingia top 10 ya timu bora barani Afrika kwa mujibu wa CAF tokea iyanzishwe..Simba ipo top 10 tokea iyanzishwe mpaka sasa...ukubwa sio muda wa uwazishaji bali ukubwa na ubora wako katika bara lako...Simba ni kubwa sana kuliko yanga hata haifai kulinganisha...
Hata pamba na costa zilianzishwa kabla ya Azam lakini leo Azam ndio timu kubwa.
Yanga ni uchafu mbele ya Simba..kashazoea kubebwa na waamuzi ndio amshinde Simba ila kwa ubora wake hawezi
Yanga ndo timu yenyye makombe mengi zaidHuwa yanga wanajilazisha na kukitutumua kuwa na uhusiano au wakubwa kuliko Simba jambo ambalo sio kweli...yanga ambayo haijawahi kuingia top 10 ya timu bora barani Afrika kwa mujibu wa CAF tokea iyanzishwe..Simba ipo top 10 tokea iyanzishwe mpaka sasa...ukubwa sio muda wa uwazishaji bali ukubwa na ubora wako katika bara lako...Simba ni kubwa sana kuliko yanga hata haifai kulinganisha...
Hata pamba na costa zilianzishwa kabla ya Azam lakini leo Azam ndio timu kubwa.
Yanga ni uchafu mbele ya Simba..kashazoea kubebwa na waamuzi ndio amshinde Simba ila kwa ubora wake hawezi