Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 7,148
- 13,108
ww mtoto wa shule unafanya nini huku mitaani muda wa masomo.Kitengo cha Propaganda cha CCM hakifanyi kazi za kijinga kama hizo. Bali kazi yake ni kuelezea mambo mazuri Serikali ya CCM inayafanya kwa wananchi wake na ndio maana kila Uchaguzi Mkuu ukifika, wananchi wanakipa ridhaa ya kuendelea kuongoza.
Yaani ni sawa na kizazi Hiki uwapigie nyimbo za Nuta jazz!Shida sio usmart wa wanaotengeneza propaganda au propaganda zenyewe, shida kubwa ni wapokeaji wa hizo propaganda zao wa sasa G -z , wapokeaji wa propaganda za sisiem nyakati za Tanzania ya GIZA yaani hakuna Teknolojia walikuwa na uelewa ndogo sana juu ya mambo mengi ya Nchi hii ndio maana walipata urahisi wakukubalika hata kama propaganda zao zililuwa za kijinga.
Gen-Z saizi wanapima na kufanaya reasoning ya kila jambo ndio maana unaona kila wanacholeta kinafeli vibaya sana, propaganda zao hazilengi kusaidia jamii zinalenga kushambulia upinzani kitu ambacho ndio kufeli kwake kwasababu wapokeaji wanataka wasemewe juu ya changamoto zao za maisha, ukosefu wa ajira watu kutekwa hovyo lkn badala yake ccm wamejikita kutetea yanayolalamikiwa na wapokeaji wa hizo propaganda zao.
Chadema wanafanikiwa kwenye propaganda zao kwasababu kubwa Moja propagandist wao anaanda ajenda zao kulingana na uhalisia wa maisha ya wapokeaji na matendo halisi ya serikali na ccm yao....!!.
... hapa sitii neno mtani wangu Ileje π , WAPAKE CCM TANI YAKO, ila zile picha za vinyesi wengine tuna 'allergy' nazo, PUNGUZA AU ACHA KABISA!
Hata uwe na akili nyingi kiasi gani ukipewa kazi ya kupindisha HAKI lazima utaonekana kilaza tu!Husika na kichwa cha habari hapo juu,kila chama cha Siasa hua na kitengo maalumu cha kutengeneza mbinu zao kuwakabia juu wapinzani wao,
Mbinu hizo hutumika kama tool ya kuanzisha au kuhamisha mijadala ya mhimu ili kutia wenge wapinzani wao wajichanganye na wao wapate point 3 za mhimu katika maswala mbali mbali,
Kwa hapa Tanzania Chama tawala Yaani CCM kitengo cha Propaganda kinafeli sana kila kinapoanzisha kampeni yake, sababu kubwa ni waandaji kua na akili ndogo ya kung'amua na kubaini nguvu ya wapinzani wao imetokana na Chemistry nzuri ya chama na wafuasi wao,
Mfano mdogo ni hii propaganda ya katibu & Co wa CHADEMA Heche kula hela za donation kutoka kwa wanachama naona kitengo cha Propaganda kutoka CCM wamekivalia njuga na ajabu wote wanatumia style moja kuisambaza yaani ni kama imeratibiwa na mtu na wao kupewa scrip kiasi ambacho kinaitoa kwenye uhalisia na kuonekana ni cheap Propaganda,
Nashauri kwa Chama kikubwa kama CCM andaeni watu smart wa kutengeneza script nzuri ambayo itakua na hoja nzito za kuwakabia juu wapinzani wenu kama wao wanavyo wakabia juu
Kuliko kuandaa kitu kinachostukiwa na wapinzani kirahisi,
Tatizo la CCM ni kutumia watu wale wale kuandaa badala ya kua wabunifu kama wenzenu,
Nimelize na hili kuweni smart kuweka chambo kwenye shimo la nyoka maana ukitia mkono utaupanda mwili wako sumu!
Sasa ni CCMM,Duuu machine gun Political Party au sio mwanetu!
"Low-minded" or narrow-minded people are characterized by cognitive rigidity, poor empathy, and an unwillingness to consider new perspectives. According to psychological and expert consensus, they frequently rely on stereotypes, exhibit black-and-white thinking, and prioritize their own ego over understanding othersUrojo hawana akili
Kwa wanayoyafanya, hawastahili kulipwa hata thumniPropaganda zao hata azieleweki yani ni kuchezea pesa.
HahahaSasa ni CCMM,
Chama Cha Majeshi na Mabunduki
Fact mkuu Wajitafakri sana,hakuna kitu kibaya kama wananchi wakipoteza imani na Chama Tawala hua anguko lake sio kitoto!Shida sio usmart wa wanaotengeneza propaganda au propaganda zenyewe, shida kubwa ni wapokeaji wa hizo propaganda zao wa sasa G -z , wapokeaji wa propaganda za sisiem nyakati za Tanzania ya GIZA yaani hakuna Teknolojia walikuwa na uelewa ndogo sana juu ya mambo mengi ya Nchi hii ndio maana walipata urahisi wakukubalika hata kama propaganda zao zililuwa za kijinga.
Gen-Z saizi wanapima na kufanaya reasoning ya kila jambo ndio maana unaona kila wanacholeta kinafeli vibaya sana, propaganda zao hazilengi kusaidia jamii zinalenga kushambulia upinzani kitu ambacho ndio kufeli kwake kwasababu wapokeaji wanataka wasemewe juu ya changamoto zao za maisha, ukosefu wa ajira watu kutekwa hovyo lkn badala yake ccm wamejikita kutetea yanayolalamikiwa na wapokeaji wa hizo propaganda zao.
Chadema wanafanikiwa kwenye propaganda zao kwasababu kubwa Moja propagandist wao anaanda ajenda zao kulingana na uhalisia wa maisha ya wapokeaji na matendo halisi ya serikali na ccm yao....!!.
Unakana kazi yako Gentlemen hutaki buku 7 au?I'm not working for any political party within the beautiful land of Tanzania, na ni vizuri kujiepusha na porojo za wapotoshaji useless gentleman, na itapendeza zaidi π
wajibu wangu kwa waTanzania ni kueleza ukweli mtupu kwenye mambo ya msingi tu gentleman πUnakana kazi yako Gentlemen hutaki buku 7 au?
Ukweli kuhusu nini sema kweli moja hapa!wajibu wangu kwa waTanzania ni kueleza ukweli mtupu kwenye mambo ya msingi tu gentleman π
ukweli katika mambo yote ya kijamii, kisiasa, kiuchumi, kitaifa na kimataifa gentleman πUkweli kuhusu nini sema kweli moja hapa!
Au sio Gentlemen mbona wewe ni bingwa wa kupindisha ukweli hapo imekaaje?ukweli katika mambo yote ya kijamii, kisiasa, kiuchumi, kitaifa na kimataifa gentleman π
Hahaha wanashikiwa akili na mtu mmoja wanapewa script mbovu wanaruka nayo bila kuisoma wala kutafakari mwishowe wanatia aibu!Wanachokifanya sasa hivi ni copy and paste, maana hakuna jipya tena.
hizo ni hisia zako huru gentleman,Au sio Gentlemen mbona wewe ni bingwa wa kupindisha ukweli hapo imekaaje?