DOKEZO Kiteto: Kuna Askari wa usalama barabarani eneo la Kibaya akitoza faini hatoi risiti, anadai ameshalipia

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
A

Anonymous

Guest
Hapa Kibaya wilayani Kiteto kuna trafiki anakamata sana pikipiki na hataki kutoa Control No, akidai kashalipia wewe mpe hela taslimu(Cash money) tu.

Haya si mazingira ya rushwa kabisa na akijidai ni Afisa mwadilifu

Na ni mtu wa visasi endapo utamzidi akili na kumdai unataka ukalipie kwenye mfumo wa serikali (Control No)

Atende haki na aache kukutesa watu wa piki piki...
 
Una mbwembwe hapo ndio kiteto! Muache hizo za kubrashia viatu!
 
Back
Top Bottom