Kiteto: Tembo wamtoa utumbo aliyetaka kupiga nao ‘selfie’

Tembo ana kasi zaidi ya binadamu. 40km/h si mchezo. Usain Bolt amemzidi African Bush Elephant kidogo tu 44km/h.
Na ukute hiyo 44km/h ya Bolt hawezi kimbia at that pace for more than 20 seconds.. Tembo unakuta anakata hizo 40km/h hata kwa dakika kumi straight
 
Dah basi kumbe namchukulia poa, kuna nguruwe pori.... huyu mnyama ndio namuona balaa ana mbio huyo angekua ni binadamu basi ni mwanariadha kutoka Kenya 🤣
Hahah Ngiri anakimbia hadi anatimua vumbi 😂😂 ila mimi naonaga.kama akili zao hazipo sawa, maana anaweza kuamua kukimbia tu alafu ghafla anasimama 😂
 
Hahah Ngiri anakimbia hadi anatimua vumbi 😂😂 ila mimi naonaga.kama akili zao hazipo sawa, maana anaweza kuamua kukimbia tu alafu ghafla anasimama 😂
Hivi lile vumbi huwa linatoka wapi kweli, yani watakimbia kundi la swala, pundamilia hakuna vumbi....ila yeye vumbi linatimka 🤣🤣🤣 nahisi kama ni njia ya kumkabili adui
 
😂😂😂 Nimecheka sio kitoto
 
Rejeeni kusoma Uzi wangu hapa JF | Ujasiri namna ya kumkimbia tembo ukikutana naye.
 
Hahah Ngiri anakimbia hadi anatimua vumbi 😂😂 ila mimi naonaga.kama akili zao hazipo sawa, maana anaweza kuamua kukimbia tu alafu ghafla anasimama 😂
Yule ni Zero brain...namkubali sana mikasa yake!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…