Travis wright
Member
- Jun 7, 2013
- 14
- 1
Hili tatizo kushindwa kutamka s na kutamka th badala yake ndio nnachomaanisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KIPARE...usipende sana kuongea kipare...thamaki ,thimu, thahani...nk.
KIPARE...usipende sana kuongea au kipare...thamaki ,thimu, thahani...nk.
KIPARE...usipende sana kuongea kipare...thamaki ,thimu, thahani...nk.
Niko na wewe kitongoji. Kwangu mie kama msichana ana kithembe halafu anakijua kiingereza, nampenda karibia kufa, Yaani pale akisema 'Yeth I thii! nakufa kwa maraha!dawa kubwa ya kithembe ni mwenye nacho kuwa makini anapotamka maneno yenye s na z, ajitahidi kujirekebisha baada ya muda kitapungua na baadae kitakoweka, ushahidi ninao. me nakipenda I wish ningezaliwa nacho kisingenisumbua, kama ninvyopenda dimples
Umejitahidi kufafanua lakini naomba nikurekebishe kidogo. Katatika maelezo yako , huwa hatuna neno S,wala Z. Hizi ni herufi au konsonanti au sauti,au vitamkwa.Nitajaribu kueleza kwa ufupi: ni kuwa Ulimi una muscles na kuna baadhi ya watu hizo muscles zinakuwa zimelegea hivyo unapotakiwa kusema "s" ambavyo kikawaida ulimi unatakiwa kuwa ndani yaani utauma meno na ulimi kubaki ndani halafu utakuwa juu ya "fizi" lakini kwa mtu mwenye matatizo ya "S" basi ulimi utasukuma meno na kutoka nje hivyo badala ya "s" utamka "th". (Ila si kwa wote kwani kuna baadhi ya makabila hawana "s" hivyo wana th")
Matibabu yapo hii ni kufanya speech therapy ili kufanya ulimi huwe strong hii ni pamoja na kufanyia ulimi mazoezi mara kwa mara kama jinsi ya kula, kunywa,ulimi kukaa juu ya fizi na nk.. na kama alivyosema mdau hapo juu, mtu mwenye hilo tatizo kuchukua tahadhali unapotamka neno "S".
Kwa watoto hii therapy inaweza kuchukua miezi 2 au zaidi lakini kweli tatizo linaisha. ..
NB: Kwa Tanzania sijui kama wanatoa huduma hii.
Wewe mwenyewe una kihumbe ..kwenye U unaandika HUNitajaribu kueleza kwa ufupi: ni kuwa Ulimi una muscles na kuna baadhi ya watu hizo muscles zinakuwa zimelegea hivyo unapotakiwa kusema "s" ambavyo kikawaida ulimi unatakiwa kuwa ndani yaani utauma meno na ulimi kubaki ndani halafu utakuwa juu ya "fizi" lakini kwa mtu mwenye matatizo ya "S" basi ulimi utasukuma meno na kutoka nje hivyo badala ya "s" utamka "th". (Ila si kwa wote kwani kuna baadhi ya makabila hawana "s" hivyo wana th")
Matibabu yapo hii ni kufanya speech therapy ili kufanya ulimi huwe strong hii ni pamoja na kufanyia ulimi mazoezi mara kwa mara kama jinsi ya kula, kunywa,ulimi kukaa juu ya fizi na nk.. na kama alivyosema mdau hapo juu, mtu mwenye hilo tatizo kuchukua tahadhali unapotamka neno "S".
Kwa watoto hii therapy inaweza kuchukua miezi 2 au zaidi lakini kweli tatizo linaisha. ..
NB: Kwa Tanzania sijui kama wanatoa huduma hii.
Wewe mwenyewe una kihembe ..kwenye U unaandika HUNitajaribu kueleza kwa ufupi: ni kuwa Ulimi una muscles na kuna baadhi ya watu hizo muscles zinakuwa zimelegea hivyo unapotakiwa kusema "s" ambavyo kikawaida ulimi unatakiwa kuwa ndani yaani utauma meno na ulimi kubaki ndani halafu utakuwa juu ya "fizi" lakini kwa mtu mwenye matatizo ya "S" basi ulimi utasukuma meno na kutoka nje hivyo badala ya "s" utamka "th". (Ila si kwa wote kwani kuna baadhi ya makabila hawana "s" hivyo wana th")
Matibabu yapo hii ni kufanya speech therapy ili kufanya ulimi huwe strong hii ni pamoja na kufanyia ulimi mazoezi mara kwa mara kama jinsi ya kula, kunywa,ulimi kukaa juu ya fizi na nk.. na kama alivyosema mdau hapo juu, mtu mwenye hilo tatizo kuchukua tahadhali unapotamka neno "S".
Kwa watoto hii therapy inaweza kuchukua miezi 2 au zaidi lakini kweli tatizo linaisha. ..
NB: Kwa Tanzania sijui kama wanatoa huduma hii.
Kithembe pia husababishwa na mpangilio wa meno mfano ni wale wenye mwanya mkubwadawa kubwa ya kithembe ni mwenye nacho kuwa makini anapotamka maneno yenye s na z, ajitahidi kujirekebisha baada ya muda kitapungua na baadae kitakoweka, ushahidi ninao. me nakipenda I wish ningezaliwa nacho kisingenisumbua, kama ninvyopenda dimples