Kiti cha Kifahari anachokalia sasa Msibani Mjane wa Marehemu Mafuru na Nguo ya Kifahari aliyovaa Mjane Msibani jana vinapatikana Tanzania?

Kiti cha Kifahari anachokalia sasa Msibani Mjane wa Marehemu Mafuru na Nguo ya Kifahari aliyovaa Mjane Msibani jana vinapatikana Tanzania?

Duh! Misiba ya kidigitali hii, wafiwa wanapiga pamba za kufa mtu, misosi ndiyo balaa kubwa. Wanasema ni sherehe ya mwisho kumsherehekea marehemu kwa kufa. Habari za maombolezo na mavazi yake siku hizi hakuna, mwendo ni show off tu
 
Inategemea na status ya marehemu. Hapo hawaendi sababu ya shida, wanasherekea

Tofauti na familizia zingine watu watalia wee sababu marehem labda ndio alikuwa muhimili wa kiuchumi, ndie alikuwa aliwabeba, so nani atawabeba?

Mambo ni tofauti
 
Nimevutiwa sana tu na Kiti cha Kifalme alichokalia jana Mjane na hasa ile Nguo aliyoivaa pia Mjane. Vyote ni bei gani?
Lazima ajidai mission ya kuiba Mali zetu kihalali na kisheria imekamilika sasa!!

Hilo ndilo ke wengi hufurahia wanapoachiwa mapesa na mali huku wakilia machozi ya tabasam la kiaina!
 
Back
Top Bottom