Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Ni utara ibu wa rais kutumia viti vya ikulu hata mkapa and many presidents do tha same
kama obama atatembea na gari yake everywhere kiti ni minor thngs
just security isues
Nakumbuka alipokuwa anatangaza cabinet baada ya EL kujiuzulu aliwekewa kiti akaomba abadilishiwe. Kwa hiyo hii ya kutembea na kiti imeanza baadae, sio security issue. Ni mambo ya kijamii zaidi
Purely mazingara!
No wonder ata leo akiwa analonga na wazee ameamua kukaa heshima ya wapi iyo!
Ni utara ibu wa rais kutumia viti vya ikulu hata mkapa and many presidents do tha same
kama obama atatembea na gari yake everywhere kiti ni minor thngs
just security isues
halafu nasikia kina gari spesho la kukibeba
mkapa alianza utaratibu wa kutumia kiti kimoja baada ya kurejea ulaya alipofanyiwa operation ya mguu. kiti hicho kilitengenezwa mahsusi kutokana na maelekezo ya madaktari kutokana na tatizo lake. nadhani baada ya muda aliacha mtindo wa kutembea na kiti hicho