Kiti cha ofisi

Kiti cha ofisi

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Kiti cha ofisini kimekuwa kikiniumiza mgongo.
Nimebadilisha viti vitano lakini bado naumia.
Je nikae pozi gani ili nisiumize mgongo?
 
Hamna viti vizuri kama vile vya ma-secretary ambavyo hutoa support nzuri kwa lower back.
 
Tatizo inaweza isiwe kiti, bali ni jinsi ulivyoi-position computer yako.
 
Mi mwenyewe nakabiliwa na tatizo kama la mtoa mada.
kuna mtu kaniambia kuwa viti vya ofisini vile vya zamani (Common chair) vilivyo fanana na vya mezani ndio vizuri kwa usalama wa mgongo.
 
Back
Top Bottom