Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,107 Reaction score 160,001 Jul 19, 2010 #1 Kiti cha ofisini kimekuwa kikiniumiza mgongo. Nimebadilisha viti vitano lakini bado naumia. Je nikae pozi gani ili nisiumize mgongo?
Kiti cha ofisini kimekuwa kikiniumiza mgongo. Nimebadilisha viti vitano lakini bado naumia. Je nikae pozi gani ili nisiumize mgongo?
U uporoto01 JF-Expert Member Joined May 23, 2008 Posts 4,698 Reaction score 1,423 Jul 19, 2010 #2 Hamna viti vizuri kama vile vya ma-secretary ambavyo hutoa support nzuri kwa lower back.
KakaJambazi JF-Expert Member Joined Jun 5, 2009 Posts 18,804 Reaction score 12,227 Jul 21, 2010 #3 Tatizo inaweza isiwe kiti, bali ni jinsi ulivyoi-position computer yako.
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,107 Reaction score 160,001 Jul 21, 2010 Thread starter #4 Mi mwenyewe nakabiliwa na tatizo kama la mtoa mada. kuna mtu kaniambia kuwa viti vya ofisini vile vya zamani (Common chair) vilivyo fanana na vya mezani ndio vizuri kwa usalama wa mgongo.
Mi mwenyewe nakabiliwa na tatizo kama la mtoa mada. kuna mtu kaniambia kuwa viti vya ofisini vile vya zamani (Common chair) vilivyo fanana na vya mezani ndio vizuri kwa usalama wa mgongo.