GE2025 Kitila aendelea kusaka Kura nyumba kwa nyumba bila kujali mvua

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

PAYE

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2025
Posts
459
Reaction score
644
Oktoba 7, 2025, Mgombea Ubunge wa Jimbo la Ubungo, Profesa Kitila Mkumbo, aliendelea na kampeni zake za nyumba kwa nyumba, mtaa kwa mtaa katika mtaa wa Kimara Baruti, uliopo Kata ya Kimara, Ubungo, Dar es Salaam.

Pamoja na hali ya mvua, Kitila aliendelea kuwatembelea waajiri wake (wananchi), kueleza aliyotekeleza na kuomba kura ili kupewa nafasi ya kuongoza kwa miaka mingine mitano.

Kitila aliambatana na mgombea Udiwani wa Kata ya Kimara, Mhandisi Ismail Mvungi.

Your browser is not able to display this video.
 
Huyu nae na Phd yake ya sociology ana ushamba mwingi sana..eti bila kujali mvua...what is this?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…