Mwizukulu wa Buganda
Member
- Nov 19, 2024
- 94
- 307
Waziri Kitila Mkumbo akihojiwa na Wasafi FM amesema kuwa Boniface Jacob hana uwezo wa kumshinda katika Ubunge jimbo la Ubungo. Anatia huruma sana, Hata kushinda kura za maoni ndani ya chama chake hawezi. Hata 2020 hakushinda, alishinda Renatus Pamba lakini kutokana na urafiki wa Boniface na Mwenyekiti Mbowe akapewa.