Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Hiyo ina maana kwamba bila utashi wa Rais hakutakuwapo na demokrasia hapa Tanzania.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahahahahah! Umenena kweli maana mkate utamu wake umepungua,akili lazima sirudi.Akili zinarudi
Kumbe kutemeshwa tonge mdomoni kuna madhara yake?View attachment 2358691
Hiyo ina maana kwamba bila utashi wa Rais hakutakuwapo na demokrasia hapa Tanzania.
Ukisikia mlio ujue jiwe limepataView attachment 2358691
Hiyo ina maana kwamba bila utashi wa Rais hakutakuwapo na demokrasia hapa Tanzania.
Maskini Tanzania yetu na viongozi waganga njaa!Ukisikia mlio ujue jiwe limepata
He is right 100%View attachment 2358691
Hiyo ina maana kwamba bila utashi wa Rais hakutakuwapo na demokrasia hapa Tanzania.