Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Huyu ni Kabudi part two. Pumbafu! (in Magufuli's voice)
"Ukisoma literature utaona kwamba hakuna chama chochote cha siasa duniani ambacho kimeshinda uchaguzi kwa kuwa tu kimekuwa ni bingwa wa kukosoa.
"Chama kinashinda uchaguzi kwa kuwa kimeweka sera mbadala na kikaonekana, kina safu mbadala ya uongozi, kuwa na mikakati mbadala ya ya kutatua changamoto za wananchi na kuonesha uzoefu katika kutatua changamoto za wananchi." - Prof. Kitila Mkumbo, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji
Jambo TV
Wewe ni Mtanzania au mfuatiliaji wa siasa za Tanzania?Hii ni principle pia kwenye maisha.... Blaming and complaining doesnt solve problems.
Wanaojiita wapunzani tanzania ni wakosoaji badala ya kuwa wana preach solutions zaidi.
Wakosoe ila pia watoe na solutions
Wa hapa hapa mkuu... nimepiga kura mara tatu... nimekuwa nikichagua upinzani miaka yote... ila kwa observation yangu, wapinzani wa sasahivi Tanzania wamepwayaWewe ni Mtanzania au mfuatiliaji wa siasa za Tanzania?
Kazi ya wapinzani ni kukosoa, na serikali kazi yake ni kufanyia kazi mapungufu wanayooneshwa na wapinzani, wapinzani wakiifanya hii kazi yao kwa usahihi, wataaminiwa na wananchi hiyo inakuwa tiketi kwao kushinda uchaguzi popote.Hii ni principle pia kwenye maisha.... Blaming and complaining doesnt solve problems.
Wanaojiita wapunzani tanzania ni wakosoaji badala ya kuwa wana preach solutions zaidi.
Wakosoe ila pia watoe na solutions
This is a hopeless guy, sijui nani wanamualika mtu ambaye ni msaliti. Huyu hawezi kusema la kweli maana anakuwa driven na tumbo! Mnasikiliza nini kutoka kwake? wastage of time and resources inviting such a stupid guy!
"Ukisoma literature utaona kwamba hakuna chama chochote cha siasa duniani ambacho kimeshinda uchaguzi kwa kuwa tu kimekuwa ni bingwa wa kukosoa.
"Chama kinashinda uchaguzi kwa kuwa kimeweka sera mbadala na kikaonekana, kina safu mbadala ya uongozi, kuwa na mikakati mbadala ya ya kutatua changamoto za wananchi na kuonesha uzoefu katika kutatua changamoto za wananchi." - Prof. Kitila Mkumbo, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji
Jambo TV
Yes OkayTanzania haitapata maendeleo kwa kuwa na maprofesa wajinga kama hawa.
Laughing whilst drinkingHuyu ni Kabudi part two. Pumbafu! (in Magufuli's voice)
Kwa hiyo unaamini kuwa cdm waendelee na ujinga wa kukospaTanzania haitapata maendeleo kwa kuwa na maprofesa wajinga kama hawa
Kajifunze kuandika dada anguKwa hiyo unaamini kuwa cdm waendelee na ujinga wa kukospa
Hamna lolote! Siyo kwa mazingira ya uchaguzi wa 2020. Never!
"Ukisoma literature utaona kwamba hakuna chama chochote cha siasa duniani ambacho kimeshinda uchaguzi kwa kuwa tu kimekuwa ni bingwa wa kukosoa.
"Chama kinashinda uchaguzi kwa kuwa kimeweka sera mbadala na kikaonekana, kina safu mbadala ya uongozi, kuwa na mikakati mbadala ya ya kutatua changamoto za wananchi na kuonesha uzoefu katika kutatua changamoto za wananchi." - Prof. Kitila Mkumbo, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji
Jambo TV
Hii ni principle pia kwenye maisha.... Blaming and complaining doesnt solve problems.
Wanaojiita wapunzani tanzania ni wakosoaji badala ya kuwa wana preach solutions zaidi.
Wakosoe ila pia watoe na solutions
Kwa hiyo unaamini kuwa cdm waendelee na ujinga wa kukospa
Pamoja na ujinga wake ila kaongea ukweli!Tanzania haitapata maendeleo kwa kuwa na maprofesa wajinga kama hawa
Absolutely!Hii ni principle pia kwenye maisha.... Blaming and complaining doesnt solve problems.