saidoo25
JF-Expert Member
- Jul 4, 2022
- 624
- 1,456
Prof. Kitila mkumbo ameshindwa kujibu hoja kuhusu mkabata anaanza kuviingiza vyombo vya ulinzi kwenye mambo ambavyo havihusiki navyo, kwani wakati mnaingia huo mkataba mlilijulisha Jeshi? kwanini leo mambo yameharibika ndiyo mnataka kulitaja Jeshi.
Ombi langu kwa Jeshi la Wananchi wa Tanzania sisi Raia wema tunaomba mumuonye Prof. Mkumbo abaki kwenye hoja ya mkataba aache kutumia jina la Jeshi kubariki uovu wa Mkataba.
Ombi langu kwa Jeshi la Wananchi wa Tanzania sisi Raia wema tunaomba mumuonye Prof. Mkumbo abaki kwenye hoja ya mkataba aache kutumia jina la Jeshi kubariki uovu wa Mkataba.