Kitila Mkumbo jibu hoja za mkataba acha kuzungumzia vyombo vya Ulinzi

saidoo25

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2022
Posts
624
Reaction score
1,456
Prof. Kitila mkumbo ameshindwa kujibu hoja kuhusu mkabata anaanza kuviingiza vyombo vya ulinzi kwenye mambo ambavyo havihusiki navyo, kwani wakati mnaingia huo mkataba mlilijulisha Jeshi? kwanini leo mambo yameharibika ndiyo mnataka kulitaja Jeshi.

Ombi langu kwa Jeshi la Wananchi wa Tanzania sisi Raia wema tunaomba mumuonye Prof. Mkumbo abaki kwenye hoja ya mkataba aache kutumia jina la Jeshi kubariki uovu wa Mkataba.
 
Hiki kufupisho cha Prof. kinatuaminisha kwamba Watu hao wana weledi stahiki lakini wengi ni wababaishaji tu. Nasikitika kwamba nilimpigia kura Kitila Mkumbo ili awe Rais wa Daruso UDSM, kumbe ni kiumbe msaliti wa resources za Watanganyika.
 
Kwamba anakimbilia kituoni 🤣🤣🤣🤣
 
Nina 98% Mkumbo hajausoma mkataba yeye anachotetea ni Uwaziri basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…