kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Nimeona mkutano wa Kitila Mkumbo Ubungo Maji, kwa idadi ya watu alionao na kwa nanmna viongozi wa ccm wa mashina wanavyotumia nguvu kumnadi na kuamasisha wanachama wahudhurie mikutano yake sidhani Kama atapata hata kura elfu mbili, ukiona unakosa mvuto kwa wananchi Wanaokuzunguka hata Salam awakupi jua wewe siyo chgauo lao ila Kuna mtu alikua amejipanga akaenguliwa.
Nikiunganisha na kauli ya Jana ya Mhe Rais kwamba aliwapangia yeye na Mwigulu Nani agombee wapi Basi unajua kuwa Kama siyo Mwenyekiti wa chama Basi hata kura mbili ndani ya CCM asingepata.
Lakini pia uwezo wake wakuzichambua na kuzielewa kero za wananchi Ni mdogo sana, he is too accademician not politician.
Na hapa unapata sababu kwanini wapinzani lazima waenguliwe, Ni kwa sababu uteuzi umefanya na Mwenyekiti bila kuangalia wananchi wanataka nini.