Kuwa tajiri au maskini Tanzania ni uamuzi wako binafsi gentleman,Unaona vijisenti toka EU ni takataka kwa vile wewe you can afford anything on earth.
Lakini kwa mwenye dialysis ambayo say ilikuwa inakuwa supplemented na EU funds katika afya analia na kusaga meno kukosa fedha hiyo ( nimetolea mfano dialysis , but this applies katika scenario nyingi za aina hiyo)
Tuonyeshe fursa za kuiba fedha za umma kama Abdul na Angela sio kuokota makopokua tajiri au maskini Tanzania ni uamuzi wako binafsi gentleman,
huna haja ya visingiozio wala kuendekeza uvivu, fursa ziko bwerere Tanzania
Amesahau siku kadhaa zile alizopauka baada ya kutemwa uwaziri.!Unaona vijisenti toka EU ni takataka kwa vile wewe you can afford anything on earth.
Lakini kwa mwenye dialysis ambayo say ilikuwa inakuwa supplemented na EU funds katika afya analia na kusaga meno kukosa fedha hiyo ( nimetolea mfano dialysis , but this applies katika scenario nyingi za aina hiyo)
Ukiacha Katambi Waziri mwingine Duni ni KitillaUnaona vijisenti toka EU ni takataka kwa vile wewe you can afford anything on earth.
Lakini kwa mwenye dialysis ambayo say ilikuwa inakuwa supplemented na EU funds katika afya analia na kusaga meno kukosa fedha hiyo ( nimetolea mfano dialysis , but this applies katika scenario nyingi za aina hiyo)
ACT ni ya makubasi by principle, hivyo Zito anatetea mvaa kubasi mwenzake ingawa si wote lkn basically ZITO huwa ni mdini! Exceptions zipo akina Semu Shahibu na wengine wachache..Ukiacha Katambi Waziri mwingine Duni ni Kitilla
Huyu ni wewe kweli? Kwanini tunakubali agenda ya udini ya CCM? Tunaaminishwa kabisa kuwa wabaya ni dini fulani bila kujali CCM miaka yote hufanya uhuni bila kujani dini ya Rais aliyepo.ACT ni ya makubasi by principle, hivyo Zito anatetea mvaa kubasi mwenzake
Kuna ka element ka zito na udini! Kapo sana kwa zito, inawezekana akina Shainu , Semu hawkonhivyo, LAKINI MWENYE MALI ZITO NI MDINI. ACT NI YA ZITOHuyu ni wewe kweli? Kwanini tunakubali agenda ya udini ya CCM? Tunaaminishwa kabisa kuwa wabaya ni dini fulani bila kujali CCM miaka yote hufanya uhuni bila kujani dini ya Rais aliyepo.
Mfano hao ACT hata kipindi cha JPM waliunga mkono juhudi licha ya kwamba alikua mkristo. Na bado hiyo CCM ilivuruga sana wapinzani hasa chadema bila kujali Mbowe na JPM walikua wote wakristo.
Tusikubali udini ututoe kwenye focus, tunawapa ushindi CCM maana ndio walichotaka.