zagamba deo
Member
- Oct 27, 2014
- 52
- 28
Ndugu Wana jukwaa wenzangu nawasalimu.
MAKULUMLA ndio hilikiwa ngome ya chadema kwa Jimbo la Ubungo lakini Toka kitila apate ridhaa ya kupeperusha bendera ya chama Cha mapinduzi, wakazi hao wamekuwa na kiu kubwa ya kutaka kuonana na kitila na kumueleza hisia zao za moyoni.
Baada ya kitila kufika kwa wakazi wa eneo hilo Kwa hali ya kustahajabu wakazi wa pale walimkata Boniface kwa hoja ya kuto timiza ahadi zake alizowaahidi wakazi wa eneo hilo wakati akiwa meya wa Ubungo, lakini wakazi hao pia walisema kwa uweledi, huruma, uwajibikaji na ukaribu kwa wakazi hao wameamua kumuunga mkono kitila Mkumbo na kuachana na yule meya aliyeshindwa kutatua kero za kina mama, vijana na walemavu kuwasaidia mikopo ya bila riba pale manispaa.
Pia wakazi hao wamejipa kazi ya kuamasishana wenyewe kwa wenye kumtafutia kura ndugu kitila na raisi wake pamoja na diwani wa ccm wa kata yao.
Mwisho
MAKULUMLA kwa Sasa Ni mpya au unaweza sema MAKULUMLA ya Sasa Ni ya kitila Mkumbo na sio mwingine.