Kitimoto haitengezwi SUSHI, utakufa

Myebusi Mweusi

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2022
Posts
671
Reaction score
1,543
Unataka kula nyama ya nguruwe ambayo haijaiva vizuri ili ugundue nini?

Usile kitimoto ambayo haijaiva vizuri, hakikisha imepikwa kwa moto mkali, kama ni ya kuokwa hakikisha imeokwa kwa muda mrefu hadi mifupa ichomoke kwenye nyama.

Kitimoto ni tamu na salama sana.
 
Mimi hata jopo LA madokta wanishauri niache kula KTM siwezi,,,wacha iniuwe tu.
 
Hata nyama itegewayo Sumu Huwa ni Ile iliyonona, yenye mvuto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…