Kitimoto ni moja ya chanzo cha furaha, amani na upendo

Kitimoto ni moja ya chanzo cha furaha, amani na upendo

DeVigo

New Member
Joined
Dec 23, 2022
Posts
4
Reaction score
5
Mara nyingi nimekuwa nikitembelea bucha za kitimoto nikiwa na familia ndugu, jamaa na Marafiki hakika huwa tunafurahi na kucheka kwa pamoja tukiwa tunatumia hii chakula.

Utamu wake ni kama asali mbichi inayoweza kutibu magonjwa mengi Sana hivyo hivyo kitimoto hutibu huzuni, mfarakano na misongo mingi ya mawazo, hutufanya tuwe na furaha.
 
Vile vile kitimoto ukikitumia vibaya chaweza kukuharibia uzima wako wa ngozi kama vile magonjwa ya ngozi upele,na kuharisha hadi damu
 
Vile vile kitimoto ukikitumia vibaya chaweza kukuharibia uzima wako wa ngozi kama vile magonjwa ya ngozi upele,na kuharisha hadi damu

Acha uongo wewe hata nyama ya kuku usipo ipika vzr unaweza pata magonjwa mengi tu
 
Ni furaha iliyopitiliza nikipeleka kiti moto nyumbani. Kiti moto ikakaushwa vizuri uweke na kachumbari, ugali unashuka tu!! Shangwe kwenye familia.
 
Back
Top Bottom