Nani kakudanganya??Vile vile kitimoto ukikitumia vibaya chaweza kukuharibia uzima wako wa ngozi kama vile magonjwa ya ngozi upele,na kuharisha hadi damu
[emoji23]Mkuu hela yote tumemalizia kwenye birthday ya Yesu, unatutamanisha[emoji1787]
Vile vile kitimoto ukikitumia vibaya chaweza kukuharibia uzima wako wa ngozi kama vile magonjwa ya ngozi upele,na kuharisha hadi damu