Kitisho cha sweetfella kwa mastaa wanaotumia mkorogo wake

Kitisho cha sweetfella kwa mastaa wanaotumia mkorogo wake

Numbisa

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2016
Posts
301,221
Reaction score
1,172,274
Mke wa aliyekua meneja wa yamoto band,said fella anayejulikana kwa jina la sweet fella ametishia kuanika majina ya mastaa wanaotumia mkorogo wake sababu hawamtangazi kama wanavyowatangaza wafanyabiashara wa mawigi na nguo wavaazo
72707423_811054369346151_3522956113216297611_n.jpg
 
Mke wa aliyekua meneja wa yamoto band,said fella anayejulikana kwa jina la sweet fella ametishia kuanika majina ya mastaa wanaotumia mkorogo wake sababu hawamtangazi kama wanavyowatangaza wafanyabiashara wa mawigi na nguo wavaazoView attachment 1269489
For the first time nakuona umeandika Uzi wako hongera kwa Hilo
 
Mke wa aliyekua meneja wa yamoto band,said fella anayejulikana kwa jina la sweet fella ametishia kuanika majina ya mastaa wanaotumia mkorogo wake
shosti kwani huyu mchina wa bongo alishaachika kwa bwana diwani ?? 😶😶
 
Back
Top Bottom