Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu wa JF
Is there any posibilities of having legal department here at JF? Kiwe kitengo cha kuzungumzia Sheria mbalimbali ili tuweze kuleta Mawakili, Majaji Mbalimbali kwenye forum hii ya JF. Natanguliza shukrani.
God bless JF
Max Shimba
Working onto it... Kuna Forum ya Science and Technology iko under construction, hizi zinaandaliwa mazingira tofauti. Tupe muda tu!
Yap, it will help alot. Legal ndio mwendo wenyewe hivi sasa, kila unapokwenda unaulizwa kama unawakili.
I think they should put this into consideration.
Thanks Max for your vision
Hapo tuta enjoy sana. Wako wenzetu wakina Agustoons watatusaidia hapa kwa habari za legal issues. Tutajenga kesi na kuwasaidia watu katika haki zao.
Mungu akubariki Max
Haya majukwaa inabidi yakianzishwa yawe na uendeshaji tofauti na yanahitaji moderators wake maalumu, ndio maana tunajiandaa badala ya kukurupuka kuyaanzisha. Tupeni wiki hii tu
Ni kweli mkuu, tunahitaji mapinduzi ya sheria.
Tumeanzisha hili jukwaa rasmi, naomba litumike kuwaelimisha wengi basi.Haya majukwaa inabidi yakianzishwa yawe na uendeshaji tofauti na yanahitaji moderators wake maalumu, ndio maana tunajiandaa badala ya kukurupuka kuyaanzisha. Tupeni wiki hii tu