Kitivo cha TAKWIMU chuo kikuu.

Joined
Feb 2, 2013
Posts
19
Reaction score
0
Hiv kwa wanaosoma kitivo cha TAKWIMU {statistics} huwa wanatumia miaka ningap kumaliza degree ya 1 na ni combination gan inakuwa priority? Kwa wanaosoma HGK au HGL vp?
 
Hiv kwa wanaosoma kitivo cha TAKWIMU {statistics} huwa wanatumia miaka ningap kumaliza degree ya 1 na ni combination gan inakuwa priority? Kwa wanaosoma HGK au HGL vp?
swali zuri.....kitivo cha takwimu chuo gani??? sasa ni hivi,statistics ni part ya mathematics(nikimaanisha baada ya pure,applied mathematics then statistics inafwata)...na hii mara nyingi hasa kwa hapa tanzania inasomwa miaka mitatu,na inatolewa na vyuo vya UDOM,UDSM,mzumbebagamoyo university na mwenge!!
Kama unataka kwenda kusoma na umesoma arts(HGL au HGL) itakuwia ngumu sana maana humo kuna applications za advanced maths na kwa ninavyojua mtu wa arts hakusoma pure form6!! sasa ukiwa class prof anasema integration wewe unashangaa...upo? watu wengi wamekuwa wakijipa moyo kwamba ni sawa na ile ya geography,yah wenda ni kweli ila jua kwa level ya chuo imeenda ndani zaidi!!! na hesabu zipo za kumwaga...
USHAURI..
Kama unataka kwenda soma takwimu(statistics) ni fresh kama umesoma PURE MATHS!!! (PCM,PGM na EGM) Tofauti na izo unaweza pata ila itakuwia shida kiasi flani....nawasilisha!!!
 

thanks sana coz kuna lijamaa linajdanganya kusoma statistics liko f6 HGK
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…