Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 19,976
- 32,195
Aman iwe juu yenu wakubwa
Kama kichwa cha habali kinavyosomeka hapo juu
Kuna jamaa Yangu mmoja alikuwa ni kitombi wa kufa mtu.
Mademu na yeye, yeye na mademu tena wale wakali kishenz
Cha ajabu sasa jamaa kaoa mke mbaya kishenzi
Hahaaaa yaan mke ni lwino hachomekei meno yaan meno mawili yako nje hayajifuniki na mdomo
Nimecheka sana jamaa akajihami anambia huyu demu kwao kuna hela kishenz Mara sijui kaka yake anafanya kaz mgodin sijui Mara kameenda kamerud.
Dah lakin jamaa kaniacha hoi sana kuchezea mademu kote huko unakuja kuoa mwanamke asiyechomekea meno mwus kama mkaa! Dah
LONDON BOY
Sent using Jamii Forums mobile app