agprogrammer
JF-Expert Member
- Dec 7, 2015
- 468
- 362
Habari za muda huu wana ndugu, kama kichwa kinavyojieleza nina mtoto wa mwezi moja na wiki kama tatu sasa kitovu chake kimejaa hewa yaani ukikibonyeza unasikia sauti kabisa kwamba ndani kuna hewa ni kama kitu ambacho ukitoboa kwa sindano hewa inatoka, naonba msaada wa jinsi ya kumsaidia kuna mtu ameniambia nimfunge shilingi hii nayo imekaaje? Nawasilisha.