ninachotaka kujua ni je kuna ukweli wowote?na hawa ambao ni function less wanatokana na nini?tangu nakua,nimekuwa nikisikia kuwa mtoto mchanga hasa wa kiume 'wa kike sina hakika', anapozaliwa,endapo kitovu chake kitaangukia sehemu nyeti basi atakuwa hana nguvu za kiume au uwezo wa kuzaa.je kuna ukweli wowote katika hilo?au kuna any scientific proof juu ya hilo?
sana Eve yaani wanatoa vitisho ili kuwafanya kina mama wawe makini.Kubemenda, mjamzito akila mayai mtoto atakua hana nywele, mtoto wa kiume akiangukiwa na kitovu haitasimama..... Hizo story tu
Ila wazee walikua na akili sana