Kitovu changu ni cheupe. Je, kuna shida yoyote?

Kitovu changu ni cheupe. Je, kuna shida yoyote?

hermanthegreat

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2021
Posts
1,274
Reaction score
3,282
Wakuu,

Kitovu changu kina weupe unaosababishwa na vitu kama unga unga, japo hakuna maumivu yoyote lakini ningependa kufahamu hasa hili linasababishwa na nini.


Screenshot_20240314-225205.png
 
Huwez kuwa msaf na hal hyo kaka...huo ni uchafu uliotukuka..yaan .paka sodium bicarbonate ina deposite hapo inamaana hapo hapaguswi kabisa..dah

Halaf unakuta mtu kama huyu ana demu au mke..[emoji2734]
basi tuchukulie ishu ni usafi , mbona wengine haiwapati hata wakiwa wachafu
 
Back
Top Bottom