hermanthegreat
JF-Expert Member
- Mar 2, 2021
- 1,274
- 3,282
kumbe inaweza kuwa maji eh!Unahangaishwaje na kitovu mtoto wa kiume?
Hiyo si maji ya chumvi uliyoogea, potezea!
kuhusu usafi mkuu mimi ni msafi mnoNdugu jitahidi usafi.
Mbili jitahidi kukausha maji ukioga.
Tatu punguza stress.
Nne usivae nguo zenye joto haswa tshirt za elfu kumi kumi zile. Vaa cotton.
usafi ndio priority yangu mkuu , lakini hio haiondoi rangi badoDuh subiri wale wadudu wa chooni watoke ndipo uanze kujifunza usafi.
Upo serious kweli! Badala uende hospital unapost jfWakuu
Kitovu changu kina weupe unaosababiQshwa na vitu kama unga unga , japo hakuna maumivu yoyote lakini ningependa kufahamu hasa hili linasababishwa na nini.
View attachment 2934586
Ilaaa. Haya mkuu sawakuhusu usafi mkuu mimi ni msafi mno
kwaninin mkuuTumia azuma
nimepost ili nijue kama inaweza kuwa tatizo au ni hali ya kawaida na wengine huenda wanayo, nikifahamu ni tatizo naenda hospitalUpo serious kweli! Badala uende hospital unapost jf
hamna uchafu wowote mkuu , najitahidi sana usafi lakini hio haibadili chochotePaka oil chafu kutwa mara tatu kwa uboreshaji zaid wa fangas za uchafu!
Huwez kuwa msaf na hal hyo kaka...huo ni uchafu uliotukuka..yaan .paka sodium bicarbonate ina deposite hapo inamaana hapo hapaguswi kabisa..dahkuhusu usafi mkuu mimi ni msafi mno
Hii inasaidiaa au umeamua kumzamisha mwenzako mkuu? 🤣🤣 DahPaka oil chafu kutwa mara tatu kwa uboreshaji zaid wa fangas za uchafu!
basi tuchukulie ishu ni usafi , mbona wengine haiwapati hata wakiwa wachafuHuwez kuwa msaf na hal hyo kaka...huo ni uchafu uliotukuka..yaan .paka sodium bicarbonate ina deposite hapo inamaana hapo hapaguswi kabisa..dah
Halaf unakuta mtu kama huyu ana demu au mke..[emoji2734]