Kitovu na Uume wa mtoto.

Is mutation a sign inferiority/sub-human? Mutations can be caused by a number of things! And White people due to artificial life are more likely to be exposed compared to africans! Naomba reference ya hiyo theory yako. Nitafurahi kuisoma!
 
Imani zipo na kuzijua ni muhimu la maana tujadili madhara na tiba sio kila kitu kina satisfying mechanism on how...ni kama imani na it is working sio kupuuza...
 
Kitofu Kikiangukia Uume Ndo Basi Tena Hautosimama,Dawa Yake Ni Mtoto Kupanda Juu Ya Dari Ya Nyumba Akiwa Uchi Then Mama Mtoto Anapita Huku Akiangalia Juu Akimuona Tu Basi Amepona, Sio Jambo La Kufikirika Lipo Kabisa Kaeni Na Wazee Mjue Mambo Sio Fb Na Wtsp.
 
Niliwahi kusikia hivyo. Ila mi nashauri kwa tahadhari wanawake mzingatie na maneno ya wahenga pia si kila kitu kisemwacho kipuuzwe maana tusifanye majaribio kwa watoto wetu. Hata maandiko matakatifu husema kuna uzima baada ya kifo, so bora uamini na utende mema kuliko usiamini alafu ukakutane na hayo maisha.
.namalizia hiviiiii zingatia maneno ya wahenga wetu na sio dhambi
 
Imani zipo na kuzijua ni muhimu la maana tujadili madhara na tiba sio kila kitu kina satisfying mechanism on how...ni kama imani na it is working sio kupuuza...
Kuamini jambo fulani hakuzalishi ukweli.Huwezi kusema niamini kuwa nina mawe tumboni halafu bila kujua jinsi hayo mawe yalivyoingia tumboni, useme nitafute solution ya kuondoa hayo mawe.
 
Ushauri wa aina hizi ndio unafanya watu wabake watoto na wengine kuua albino! Pumbaf kabisa!
 
Kuamini jambo fulani hakuzalishi ukweli.Huwezi kusema niamini kuwa nina mawe tumboni halafu bila kujua jinsi hayo mawe yalivyoingia tumboni, useme nitafute solution ya kuondoa hayo mawe.
Hebu wenye uzoefu watuambie ukweli wa hili.....ambao yamewatokea....
 
Is mutation a sign inferiority/sub-human? Mutations can be caused by a number of things! And White people due to artificial life are more likely to be exposed compared to africans! Naomba reference ya hiyo theory yako. Nitafurahi kuisoma!
Kuna mutations nzuri na mbaya.Watu weupe wengi wana mutation mbaya kuliko watu weusi.
Unataka reference inayohusiana na nini? maana hapa mambo yashakuwa mengi.
 
Hii chai inahitaji sambusa kutafunia
 
Kuna mutations nzuri na mbaya.Watu weupe wengi wana mutation mbaya kuliko watu weusi.
Unataka reference inayohusiana na nini? maana hapa mambo yashakuwa mengi.
African genes are evolutionary superior
 
Mkuu nadhani hujanielewa kabisa. Mimi siwezi kuthibitisha kua eti kitovu kinaweza kusababisha mtu asipate erections. Ningeweza nisingekuja na hili swali humu.
Na pia siwezi kukataa kua hakiwezi kusababisha mtu kua kwenye hali hiyo. Sio kila kitu kilichofikiriwa na muafrika ni upotofu Wa imani.
Ndio mana naomba mwenye ufahamu mzuri anieleweshe. Kama nimekosea naomba msamaha kaka
 
Kuna zile story wanasemaga usikalie mafiga ni laana mwanaume jikoni na mengine hizi ni namna busara Wazee walitumia kushape jamii Kwa wakati wao
Hakuna uhusiano wa kitovu kukauka kudondoka kwenye au pasipo uume na nguvu ama asili ya mwanaume
Nadhani ni namna ya kuwasaidia watu wenye matatizo wanaume wasipitie msongo wa mawazo wakajinyoka waone ni tatizo lililotokea waendelee na maisha

Nitauliza swali
Na hivo vinguo vitambaa vyeusi wanavyofungwa watoto shingoni mikononi kiunoni miguuni nazo ni nini? Huwa zinanikera roho sana
 
Wala hakuna makosa kwenye kujifunza.Kila mtu anajifunza maana hakuna ajuaye walau nusu ya yote.
Kuhusihana na hii mada mimi naweza kusema hapana.Lakini mawazo yangu siyo sheria, tusubiri na wengine waseme.
 
Hii kitu niyaukweli na mm ninaushahidi tosha mana kuna mdogo wangu wakiume wakunifata anatatizo hili yani hajawahi kusimamisha hata cku moja na dawa ya hili tatizo ni mpaka yeye agusishe uume wake kwenye k ya mama lkn mama ashaga fariki tangu mdogo wangu akiwa na umri wa miaka minne,na hili tatizo limekuja kugundulika alipokua nakujitambua ndo ikabidi amweleze mzee kuwa anatatizo hilo ndo tumefanya utafiti ndo ikagundulika kuwa alidondokewa nakitovu kwenye mashine yake, ko mpaka sahivi yupo tu, ko mwenye kujua dawa tofauti na hiyo yakugusisha atusaidie make mama hatuko nae ko Hamna pakugusisha
 
Nmejifunza kitu[emoji106] [emoji106] [emoji106]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…