Kitu ambacho CCM haitaki ujue, lakini leo nitakujulisha!




Waafrika wanasemwa ya kuwa hawasomi. Pengine ni kutokana na waandishi kutowaheshimu wasomaji wao.




.

unafikiri ni kosa la waandishi kama wasomaji hawaheshimiwi? Kwa kuandika vizuri, kwa kifupi, na bila makosa ina maana mwandishi anaheshimu wasomaji wake.
 
unafikiri ni kosa la waandishi kama wasomaji hawaheshimiwi? Kwa kuandika vizuri, kwa kifupi, na bila makosa ina maana mwandishi anaheshimu wasomaji wake.

Inawezekana.....fikiria ukiwa unaandika makala ambayo audience yake ni Kuhani, Pundit, Njabu Ngabu and their ilk.....
 



Long ass post...I ain't reading all this shit...
 
Chama cha CCM kina matatizo mengi,lakini vyama vile vingine vya Upinzani ni fake.
Siku ile Mrema na mgombea mwenza walikuwa wanakwenda kwa Msajili kurudisha form za kugombea Urais. Vigogo wawil wa TLP,al manusura watwangane makonde.
Haya ndiyo mambo ambayo huyaoni katika Chama Cha Mapinduzi. Huwaoni viongozi wake kupigana.
NCCR walipata viti vingi katika lile Bunge lililopita,lakini,wakapigana ngumi mpaka kile Chama kikafa. Sasa NCCR imekuwa ni Chama kichekesho tu.
Kwa hiyo watu bado wana imani na CCM,with good reason,kwa sababu CCM is reasonable.
Lakini,I must admit,kuhusu haya matatizo ya Wanafunzi,hawa wanaogoma na kurudshwa nyumbani,halafu hawarudi nyumbani,wanaishia mtaa wa Ohio wanafanya ukahaba,CCM is irresponsible,behaving in an unspeakably careless manner. Hawa ni vijana wamekabidhiwa kwa CCM na wazazi wao. CCM lazima iwatunze,na kuwalinda.
Na kumkamata mtu mmoja na kumshitaki when a whole horde of people have demostrated,seems to me unreasonable.
Halafu jela zenyewe ni fake. A few months ago,sijui kama I understood this correctly,kulikuwa na mpango wa kupeleka condom jela "ili kuthibiti ukmwi" Hakuna mtu yeyote anayeuliza kama wale wote kule ni wanaume,why would they need condoms.
Mambo kama haya ndiyo yanamfanya mtu afikrie kwamba The Bastille must be broken and all the prisoners must be released.
Chama cha Chadema ni useless kuisaidia Tanzania. Wale watu wana cowboy mentality. Ni lazima waache tabia hiyo ili wachukliwe kama serious political party.
 
unafikiri ni kosa la waandishi kama wasomaji hawaheshimiwi? Kwa kuandika vizuri, kwa kifupi, na bila makosa ina maana mwandishi anaheshimu wasomaji wake.

Nilimsahau GT....naye yumo kwenye list ya kina Kuhani na wenzake..............
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…