Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
Kwa asilimia kubwa watu wengi wanaoanzisha biashara mara nyinyi huwa tayari wameshafanya utafiti kuhusu soko la biashara,eneo la kufanyia biashara na hata kujua mahitaji ya wateja
Pamoja na kufanya hayo yote lakini bado utakuta biashara nyingi zinakufa au haziendi kwa kasi inayotakiwa
Wafanyabiashara wengi huwa wanaanzisha biashara huku wakitegemea mapokezi makubwa au maoni kutoka kwa watu wengi hapa ndio wanapokosea
Nini cha kufanya?
Kufanikiwa kwenye biashara yoyote ni rahisi sana
Anzisha biashara weka mipango mizuri ya biashara yako lakini focus zaidi katika kusikiliza wateja wanasemaje
Siku zote kwenye biashara angalia faida kwanza atayopata mteja kabla haujaangalia wewe
Tayari umeshajua mahitaji ya wateja sasa katika hayo mahitaji ya wateja
Mara nyingi wateja nao huwa wanatoa maoni kitu gani kiongezwe au kipunguzwe
Hapa usipuuze hata kama ni mteja mmoja mana tayari anawakilisha kundi kubwa la wateja wanaohitaji maboresho ya huduma unayotoa