sixgates
JF-Expert Member
- Mar 19, 2011
- 3,979
- 1,665
Wakuu huwa najiuliza kwa nini baadhi ya watu wakinywa pombe hata kidogo hulewa wengine hata wanywe kreti moja hubakia strong.
Kuna dawa ama namna ya kufanya mtu ukinywa pombe kali usilewe? Na ni kwanini baadhi ya watu hulewa haraka wengine hawalewi?
Nawasilisha
Kuna dawa ama namna ya kufanya mtu ukinywa pombe kali usilewe? Na ni kwanini baadhi ya watu hulewa haraka wengine hawalewi?
Nawasilisha