Sababu zipo nyingi lakini ni pamoja na
1. Uzito wa mwili wako-wenye uzito mkubwa wanachelewa kulewa and vice versa.
2.Magonjwa na matatizo mbalimbali ya mwili.
3.Uzoefu-kama ni mnywaji wa miaka mingi mwili unakua umezoea pombe hivyo hautolewa haraka,kama ndio umeanza jana light beer moja tu inatosha kukulegeza.
3.Kunywa maji-Ukiwa unakunywa maji wakati unakunywa pombe utachelewa kulewa sababu pombe yeyote inakausha maji mwilini -dehydrating agent,wakati maji ni rehydrating agent.
4. Chakula- Mtu aliyeshiba vizuri anachelewa kulewa and vice versa.
5...
Mwenye nyingine atatujuza zaidi.
By the way..kuna uhusiano wa leo sikukuu na post hii..ha ha ha!
Wenye nyingine wata