kitu cha "Kwaito" vs. kitu cha "Jaiving" ....!!

ndegeulaya

Member
Joined
Apr 26, 2011
Posts
74
Reaction score
13
Daah! Ebana wadau, hivi nani anaweza nkumbusha kitu cha "jaiving" enzi zile za sunday-school, afu tukalinganisha na hii kitu yao humu wao wanaita "Kwaito" cjui kitu gani vile, naona ma'raia wanagonga step ile mbaya hapa ndani ya babylon club, hahaa ....!
 
Kwaito mambo yote mkuu hata kama sichezi napenda kuangalia,Babylon club iko pande zipi ?
 

Si mupromote vya kwenu?

Watz bwana wanatengeza vya wenzao vya kwao vinaporomoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…