Kitu gani bei rahisi naweza kurudi nacho jijini kutoka mkoa wa Kagera?

Chukua maharage meupe uje nayo DSM matamu Sana kulia wali.

Samaki sangara nunua umpe mama yoyote awakaange uje nao.

Senene waweza nunua ukatuletea sisi marafiki zako.

Kahawa Unaweza kuja na kahawa bora kutoka kiwanda cha Tanica

Haya yote waweza kuyafanya Kama upo Bukoba mjini ambako natokea Mimi hapa Daktari wa falsafa.
 
Uko wilaya gani? Viashiria kwamba ulikuwa Kagera nunua senene na ukifika Runazi nunua sato na sangara
 
Uko wilaya gani? Viashiria kwamba ulikuwa Kagera nunua senene na ukifika Runazi nunua sato na sangara
Napita wilaya zote ila kwasasa niko bihalamulo

Senene mm silagi wadudu

Runazi ni wap iko wilaya gani
 
Maharage meupe wilaya gani ndo bei chee
 
Napita wilaya zote ila kwasasa niko bihalamulo

Senene mm silagi wadudu

Runazi ni wap iko wilaya gani
Hiyo ni wilaya mojawapo ya mkoa wa Kagera ila si rahisi kusikia Kihaya kwenye eneo hilo. Nenda wilaya za Muleba, Karagwe, Missenyi na Bukoba vijijini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…