Kitu gani cha kijinga umewahi kukifanya kwenye uhusiano?

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
15,351
Reaction score
21,362
Kama kichwa cha habari kinavyosema, kwa upande wangu hakuna ila nilikiona kwa rafiki yangu, alimnunulia mpenzi wake gari ikiwa yeye mwenyewe hana.

Uhusiano wao haukudumu baada ya huyo mpenzi wake kumsaliti rafiki yangu vipi kwa upande wako?
 
Nilikuwa naombwa sana vocha nikasajili sim card mpya kwa id yangu, nilikuwa na mtu mtandao X wa simu ikawekwa kila kitu free sms, calls na Mb siku tumeachana nikapiga simu nimeibiwa simu ile sim card ikafungwa hasahau hicho kitendo mpaka leo 😂
 
Mimi nilifikiri yeye ana akili maana ndiyo anavyoonekana, smart kimavazi, mzuri anavaa miwani (na enzi zile mtu ukivaa miwani unaonekana una akili kumbe kipofu) basi nikamwambia usipofaulu form two tutaachana.

Ilikua bet ya kibwege, si akafeli bwana. Sasa nashangaa mbona mubebi hatuonani wiki mbili mfululizo rafiki yake akaniambia kafeli na kasema ulisema hutaki kumuona akifeli.

Nikamsaka, nikampata. Nikaanza kumwambia kua sikumaanisha nilivyoongea vile ilikua ni masikhara tu nisamehe. Akajibu nimekusamehe ila sasa hivi natoka na yule rafiki yako mwenye kichwa kikubwa.

Nikasema 'Duuuh wiki mbili na mpenzi umepata?' Nikamwambia 'Basi sawa ulisema utanipa hiyo bikra baada ya pepa la form two basi nipe tu hiyo bikra endelea na jamaa' akajibu 'Bikra yenyewe nishampa rafiki yako'

Ilikua si mchezo...
 
Manzi mpya alifikaga gheto kwa mara ya kwanza ni chalii tu age ya wale tunao waendea Miaka 30 prison ile kumchojoa magwanda flesh ila cha ajabu kutoa gemu akawa anazingua kinyama ad vilio Nkaona icwe tabu Nikachukua Nivea Nikaweka kwenye kiganja Nkapiga mkono mbele yake Ila baada ya kumtoa nilijiona boya kiwango cha standard geji kwa kitendo nilicho kifanya
 
Mimi nilifikiri yeye ana akili maana ndiyo anavyoonekana, smart kimavazi, mzuri anavaa miwani (na enzi zile mtu ukivaa miwani unaonekana una akili kumbe kipofu) basi nikamwambia usipofaulu form two tutaachana.

Ilikua bet ya kibwege, si akafeli bwana. Sasa nashangaa mbona mubebi hatuonani wiki mbili mfululizo rafiki yake akaniambia kafeli na kasema ulisema hutaki kumuona akifeli.

Nikamsaka, nikampata. Nikaanza kumwambia kua sikumaanisha nilivyoongea vile ilikua ni masikhara tu nisamehe. Akajibu nimekusamehe ila sasa hivi natoka na yule rafiki yako mwenye kichwa kikubwa.

Nikasema 'Duuuh wiki mbili na mpenzi umepata?' Nikamwambia 'Basi sawa ulisema utanipa hiyo bikra baada ya pepa la form two basi nipe tu hiyo bikra endelea na jamaa' akajibu 'Bikra yenyewe nishampa rafiki yako'

Ilikua si mchezo...
[emoji23][emoji23][emoji23] dah!! Uliingia form 2 ukiwa na miaka mingapi mkuu maana mimi nilikuwa na 13 hata k siijui
 
Hahhaahahha

Back
Top Bottom