Niliwahi kumuandikia barua ya mapenz baada ya Gem kila nikimtegea atoke kwao hatoki nikenda kuirusha dirishani kwa chumba chake kumbe mama ake yuko humo ndani jioni nikaona ugeni wa wazee wake wanakuja home wote shuhuli ilikua pevu hadi kupatikana maelewano ya wazeee