Hata mimi? ??Mliotaja viwanja sio vitu vya anasa (luxury)
Ooh ok sawa basi nikajua ni chochotehata wewe mkuu. tool box siyo anasa.
Hata mimi? ??
Nikipata ile sina haja ya kingine naweza fanya lolote popote na muda wowoteAmbiere, kwani ile ni nini? Km ndumba, ni fulu anasa. Tv kwenye maji, ndege ungo, n.k.
Mkuu bei yake ikoje na ina patikana wapi Kwa dar??hazina cha ziada mkuu zaidi ya kuwa original. zinaitwa aviator sababu zinavaliwa sana na mapilot kuwakinga na jua huko angani. pia huwa na frame nzuri.
Poa kiasi gani? Takubebea lita moja tukikutana kilingeniUkipata nipunguzie kidogo maana nimepungukiwa na mafuta ya mtu
Mmh original au mwenye avatarView attachment 318888
Huyu tu basi!!!
jiongeze mkuu. kuna familia unakuta dingi ana pesa lakkini watoto washamba na walafi/waroho. ni ishu kama hizo.dah mimi sijui nina matatizo au ndi natakiwa niwe hivyo, yaani mimi siwazagi vitu vya starehe kabisa, nawazaga kuhusu project mpya tuuu, nikipata hela ni gari nyingine ya kazi, nyumba nyigine zaidi ya kukodisha, mashamaba mengine zaidi ya kukodisha, yaani revenue inaongezeka hata mara 10 lakini consumption yangu ipo palepale tu kidogo, yaani naweza fariki sijafurahia maisha kabisa
dah ila kwangu naona kama imekua too much kidogo, yaani hata kununua nguo mpya kwangu naona vigumu sanaaa,jiongeze mkuu. kuna familia unakuta dingi ana pesa lakkini watoto washamba na walafi/waroho. ni ishu kama hizo.
Inageuka anasa pale kinapokua kikubwa sana.Mliotaja viwanja sio vitu vya anasa (luxury)
Too much aiseee mbaka nguo unaona vibayadah ila kwangu naona kama imekua too much kidogo, yaani hata kununua nguo mpya kwangu naona vigumu sanaaa,
N:B Valid Dream