Kitu gani Chakijinga Uliwahi Kufanya na ikabaki kuwa siri Yako?

Chibudee

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2016
Posts
1,775
Reaction score
2,404
Nikitu gani chaajabu/kijinga ulicho Wahi Kufanya Mpaka leo imebaki siri Yako lkn ukikumbuka unacheka na kujiuliza ilikuwaje

Naanza na mm nilimuona Mama Mdogo kaingia Toilet Enzi hizo Yeye hakuniona
Nikasubiri kafunga mlango na Kuanza shughuli

Nikatoka nduki like natumbo la kuharisha na Kufungua mlango wa Chooni bila kubisha nikamshihudia Akishusha mzigo[emoji3][emoji3]

Aliruka na kufunga mlango Faster nilisepa Room kwangu na kuangua kicheko balaa

Okay let's listen you guys [emoji116]



Sent using Jamii Forums mobile app
 
ni cha kijinga mpaka nashindwa Ku comment
 
Hiyo ni siri yangu! Nikikuambia haitakuwa siri tena 😀 😀 😀 !
 
Enzi za foolish age kuna dada nilimtongoza akanipiga chini.

Nikawa naenda kumpiga chabo usiku, kwetu ni kijijini, hivyo kutoka kwetu mpaka kwao ni kama kilomita 3, alikuwa analala chumba cha pembeni ya nyumba hivyo shughuli ilikuwa rahisi sana.

Nimempiga chabo sana, namjua juu mpaka chini japo alininyima kizibo.

Now umri umeenda, Nikifikiriaga nacheka sana.


Unforgetable
 
Hahaha Ulikuwa unakula Kwa macho I cant Imagine Mayai Ulio dondosha Kila Unapo piga chapo
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha Ulikuwa unakula Kwa macho I cant Imagine Mayai Ulio dondosha Kila Unapo piga chapo
kwanza niambie jinsia yako maana umri wako nimeshaujua
km ni ke kweli kumvizia mama mdogo akiingia chooni ni sawa haina neno
lkn km ni Me ulifanya kosa sana huenda umeshawahadithia wengi na Mwanamume hana mayai
Ma mdogo ni Mama mzazi,lazima kesi ingekuwa kubwa sana kwa mama yako
ok tuyaache hongera kwa kituko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…