Tusker Bariiiidi
JF-Expert Member
- Jul 3, 2007
- 5,551
- 2,153
Hizi shule haishangazi kwani PhD ni mateso jamani mungu amsamehe na poleni wafiwa ila inasikitisha sana kama ni kweli ingelikuwa vizuri tukapata taarifa kamili ni nani na ametokea idara gani pale UDSM ili kama tuna chochote tuwapelekeee ndugu na jamaa
Amehojiwa mhadhiri mmoja main campus akadai amekufa kifo cha kawaida kama binadamu wengine! zipo tetesi kuwa (believe or not) kuwa msongo wa mawazo ndo umemuondosha baada ya defence ya PHD yake kuwa ngumu. Hizi shule nazo zina mambo yake. Mtu anakuwa na expectation za juu kisha mwisho wa siku mambo yanagoma, Mungu na ailaze roho yake mahali pema peponi kwani yeye ametangulia na sisi tutafuata.
Kwa sheria zipi!?Kwa UDSM, SUA na MUHAS mhadhiri akifeli masomo ya kiwango chochote (Masters au PhD) kibarua kinaota nyasi!
Mzumbe wanaokoteza tuu wahadhiri hata wenye PHD za kwenye mtandao
Mzumbe wanaokoteza tuu wahadhiri hata wenye PHD za kwenye mtandao
Wakuu,
Huyu marehemu ni mwenyeji wa wapi? Just curious!

Imetokea lini?