Tusker Bariiiidi
JF-Expert Member
- Jul 3, 2007
- 5,551
- 2,153
- Thread starter
-
- #21
Amehojiwa mhadhiri mmoja main campus akadai amekufa kifo cha kawaida kama binadamu wengine! zipo tetesi kuwa (believe or not) kuwa msongo wa mawazo ndo umemuondosha baada ya defence ya PHD yake kuwa ngumu. Hizi shule nazo zina mambo yake. Mtu anakuwa na expectation za juu kisha mwisho wa siku mambo yanagoma, Mungu na ailaze roho yake mahali pema peponi kwani yeye ametangulia na sisi tutafuata.
02/03/2012 na amezikwa juzi 19/03/2012 jumanne Goba Dar es Salaam
Wakuu,
Huyu marehemu ni mwenyeji wa wapi? Just curious!
Ndo maana inaniwia VIGUMU sana kuamini kila habari inayokuja humu. Taarifa toka wa ndugu wa karibu ni kuwa jamaa atazikwa kesho (23.03.2012) huko Goba
Hi Freema! hope you doing fine!
I am sure you wont mind that I added a word in your original message VIGUMU... It was my pleasure!!:thinking::thinking:!!!
Alikuwa Mhadhiri wa Physical Studies kama alivyokuwa Super Coach Mziray!
02/03/2012 na amezikwa juzi 19/03/2012 jumanne Goba Dar es Salaam
Ndugu yangu Tusker bariidi Ndugu Hange hajazikwa bado. Kesho narudi Dar from Iringa kwaajili ya kumzika hiyo kesho huko Goba uliposema. Mwili umewasili jana kwa shirika la ndege la KLM na kuhifadhiwa Lugalo Military Hospital.
Sababu za kifo chake kwa mujibu wa wataalamu wa Sweden ni suicide.hivyo tusihangaike sana kutafuta chanzo maana kila mmoja atasema lake. Nimefurahi sana kwa walioonesha wazi kuwa PhD ya kusoma siyo mchezo maana kuna watu humu waliwahi kusema watu chuo fulani wanapewa PhD na Uprofesa kwa upendeleo. Ufahamu wangu ni kwamba kuwa Prof. ni balaaaa unaweza kuwa chizi kama hautakua makini bora PhD unashughulikia jambo moja tu.
Kwa UDSM, SUA na MUHAS mhadhiri akifeli masomo ya kiwango chochote (Masters au PhD) kibarua kinaota nyasi!
Umejuaje amejiua?...Andrea Hange ajiue Sweden?
Umejuaje amejiua?
Mabulangati ndio nani bana wewe? Mabulangati alikuwepo wakati marehemu anajiua?Kaka soma Post ya Mabulangati.
Sababu za kifo chake kwa mujibu wa wataalamu wa Sweden ni suicide.
Naomba mumpe hange privacy kama inawezekanaMabulangati ndio nani bana wewe? Mabulangati alikuwepo wakati marehemu anajiua?
hakuna kitu kama hicho duniani, hakuna mtaalam anaweza kusema "sababu ni suicide" unless ulioana anajiua. Coroner anaweza kusema marehemu amekufa kwa kunyongwa lakini hawezi kusema nani kamnyonga! Unajuaje hakunyongwa?
Mwenyeji wa Singida Kaka...