Mohamedy cadinaly
JF-Expert Member
- Apr 24, 2012
- 2,449
- 2,245
Kushuka kwa thamani ya shilingi kunaweza kukawa kwa (i)shilingi ya ndani yenyewe hasa kutokana na inflation yaani bidhaa kupanda thamani,lakini pia nchi kuamua kushusha thamani ya shilingi yake yenyewe (ii) kushuka kwa thamani ya Shilingi kwakulingalisha na dolar.
(1)Kushuka kwa thamani kwa sh ndani ya nchi.
Bidhaa zinapopanda thamani tafsiri yake ni kwamba tutahitaji pesa nyingi kununua vitu kidogo,hapo tunasema pesa baina thamani kiuchumi huita inflation.
Chanzo cha inflation kinaweza kua ni kushuka kwa uzalishaji aidha mashambani ama viwandani.
Kwa upande wa viwandani chukua mfano wa sukari juzi sukari ilipanda baada sana yakuadimika kutokana na viwanda kufungwa. Na kwa upande wa mashambani tizama bei ya vyakula pindi kutokeapo ukame bei ya vyaka hupanda sana.
Lakini pia sera mbovu zakiuchumi hasa BOT wanapo print pesa nyingi na kuziingiza kwenye mzunguko pia husababisha thamani ya sh kushuka.
Nchi kuamua kushusha thamani ya shilingi yake yenyewe mfano mzuri ni china mara kadhaa huamua kushusha thamani ya shilingi yake.Ifahamike kwamba kwa nchi zenye viwanda na uzalishaji mkubwa kushuka kwa thamani ya shilingi wakati mwingine ni faida kwao kwani huchochea uuzwaji wa bidhaa nje ya nchi huku ikidhoofisha uingizwaji wa bidhaa ndani ya nchi.
(2)Kushuka kwa thamani ya shilingi kulinganisha na Dolar.
Kama tujuavyo dola huhitajika kwaajili ya manunuzi nje ya nchi.Kama hifadhi ya dolar zilizopo ndani ya nchi ni chache kuliko mahitaji yake yaani kutosheleza mahitaji ya manunuzi yanayo hitajika nje lazima tsh itashuka thamani against dolar.
Ilishawahi tokea Dola ziliadimika kiasi chakuvuruga safari za watu.Wengine hulazimika hata kuongeza kidau wenyewe ili tu waweze kwenda na ratiba zao.
Lakini pia pia Dolar yenyewe kuimarika thamani yake mfano mzuri ni sasa ambapo tunaona nchi nyingi shilingi zao zimeshuka thamani ukilinganisha na Dolar kutokana na dolar yenyewe thamani yake kuimarika.
Fedha Ni bidhaa ambayo kiujumla hutumika katikati ya miamala mingine, (kwa maana kwamba unatafuta fedha ili kuhifadhi nguvu yako ya kimanunuzi, manunuzi tunayafanya pale matamanio yetu yanapoizidi thamani fedha tunayomiliki, kwa mfano:- unamiliki tsh 20,000/=, sokoni Kuna kiatu kinauzwa tsh 20,000/=, matamanio ya kiatu yanapoizidi thamani fedha ndipo unapoamua kutoa fedha iliyopoteza thamani ili upate kiatu. Na thamani ya fedha ipo kwenye upatikanaji wake!, fedha inapokuwa nyingi kwenye mzunguko thamani yake hushuka Na ndipo hapo fedha nyingi hutumika kununua mahitaji kidogo, Na fedha inapopungua kwenye mzunguko thamani yake hupanda Na hapo fedha kidogo hutumika kununua bidhaa nyingi. Kitu kinachotumika kuthibiti thamani ya fedha kwenye mzunguko Ni sera za kifedha za benki kuu (monetary policy)(kwa mfano:-RIBA), Na sera za kibajeti(fiscal policy), riba inapopanda wafanyabiashara wanapunguza kukopa Na kuwekeza, pia serikali inapoongeza makusanyo yakodi hivyo fedha kwenye mzunguko/kupunguza matumizi, riba ikishuka wafanyabiasha hukopa zaidi na/au serikali ikipunguza kodi kodi/kuongeza manunuzi fedha huongezeka kwenye mzunguko hivyo thamani yake hushuka!. Hii Ni kwa mzunguko wa ndani.
Kwa mzunguko wa nj'e fedha huuzwa dhidi ya fedha ya nchi nyingine kutegemeana Na mahitaji. Tunapomiliki (kwa mfano US dollar) nyingi baada ya kuuza bidhaa zetu nj'e mahitaji yetu kwa US dollar hupungua hivyo thamani ya fedha yetu hupanda dhidi ya US dollar , lakini tunaponunua bidhaa nyingi kutoka nj'e mahitaji yetu kwa US dollar huongezeka hivyo thamani yake hupanda dhidi ya fedha yetu, Na kinyume chake Ni hivyohivyo!. Wenye ujuzi zaidi wataongezea/kosoa nipopungua/kosea!, Nawasilisha.

Pamoja SanaMkuu hapa umemaliza kila kitu hakuna hata haja ya mm kuongea tena
Jaman Mungu akubariki Sana, kwa jinsi ulivyoelezea utafikiri umelipwa, Yan kila mtu ameshangazwa kwa jinsi ulivyojituma hapa, Mama yako anajivunia kupata mtoto Kama wewe, hata Kula Leo sili kabisa kwasabu yako weweKushuka kwa thamani ya shilingi kunaweza kukawa kwa (i)shilingi ya ndani yenyewe hasa kutokana na inflation yaani bidhaa kupanda thamani,lakini pia nchi kuamua kushusha thamani ya shilingi yake yenyewe (ii) kushuka kwa thamani ya Shilingi kwakulingalisha na dolar.
(1)Kushuka kwa thamani kwa sh ndani ya nchi.
Bidhaa zinapopanda thamani tafsiri yake ni kwamba tutahitaji pesa nyingi kununua vitu kidogo,hapo tunasema pesa baina thamani kiuchumi huita inflation.
Chanzo cha inflation kinaweza kua ni kushuka kwa uzalishaji aidha mashambani ama viwandani.
Kwa upande wa viwandani chukua mfano wa sukari juzi sukari ilipanda baada sana yakuadimika kutokana na viwanda kufungwa. Na kwa upande wa mashambani tizama bei ya vyakula pindi kutokeapo ukame bei ya vyaka hupanda sana.
Lakini pia sera mbovu zakiuchumi hasa BOT wanapo print pesa nyingi na kuziingiza kwenye mzunguko pia husababisha thamani ya sh kushuka.
Nchi kuamua kushusha thamani ya shilingi yake yenyewe mfano mzuri ni china mara kadhaa huamua kushusha thamani ya shilingi yake.Ifahamike kwamba kwa nchi zenye viwanda na uzalishaji mkubwa kushuka kwa thamani ya shilingi wakati mwingine ni faida kwao kwani huchochea uuzwaji wa bidhaa nje ya nchi huku ikidhoofisha uingizwaji wa bidhaa ndani ya nchi.
(2)Kushuka kwa thamani ya shilingi kulinganisha na Dolar.
Kama tujuavyo dola huhitajika kwaajili ya manunuzi nje ya nchi.Kama hifadhi ya dolar zilizopo ndani ya nchi ni chache kuliko mahitaji yake yaani kutosheleza mahitaji ya manunuzi yanayo hitajika nje lazima tsh itashuka thamani against dolar.
Ilishawahi tokea Dola ziliadimika kiasi chakuvuruga safari za watu.Wengine hulazimika hata kuongeza kidau wenyewe ili tu waweze kwenda na ratiba zao.
Lakini pia pia Dolar yenyewe kuimarika thamani yake mfano mzuri ni sasa ambapo tunaona nchi nyingi shilingi zao zimeshuka thamani ukilinganisha na Dolar kutokana na dolar yenyewe thamani yake kuimarika.
Serikali ikichapisha fedha nyingi thamani yake hushuka hivyo utatumia lundo kubwa kununua bidhaa chache!, rejea Congo ya Mobutu, Mugabe Na Somaliland (tofauti Na Somalia), pia umaskini hauondokani kwa wewe kumiliki fedha nyingi bali Ni kupata huduma zote za kiuchumi/kijamii Kama vile elimu bora, afya, ajira, maji Safi Na Salama nk. Kwa gharama naafuu!.Kuna kipind nliwah kuwaza kama pesa ziachapishwa kwnn serikali ic chape nyingi itugawie wananchi tusahau umasikini
Kushuka kwa thamani ya shilingi kunaweza kukawa kwa (i)shilingi ya ndani yenyewe hasa kutokana na inflation yaani bidhaa kupanda thamani,lakini pia nchi kuamua kushusha thamani ya shilingi yake yenyewe (ii) kushuka kwa thamani ya Shilingi kwakulingalisha na dolar.
(1)Kushuka kwa thamani kwa sh ndani ya nchi.
Bidhaa zinapopanda thamani tafsiri yake ni kwamba tutahitaji pesa nyingi kununua vitu kidogo,hapo tunasema pesa baina thamani kiuchumi huita inflation.
Chanzo cha inflation kinaweza kua ni kushuka kwa uzalishaji aidha mashambani ama viwandani.
Kwa upande wa viwandani chukua mfano wa sukari juzi sukari ilipanda baada sana yakuadimika kutokana na viwanda kufungwa. Na kwa upande wa mashambani tizama bei ya vyakula pindi kutokeapo ukame bei ya vyaka hupanda sana.
Lakini pia sera mbovu zakiuchumi hasa BOT wanapo print pesa nyingi na kuziingiza kwenye mzunguko pia husababisha thamani ya sh kushuka.
Nchi kuamua kushusha thamani ya shilingi yake yenyewe mfano mzuri ni china mara kadhaa huamua kushusha thamani ya shilingi yake.Ifahamike kwamba kwa nchi zenye viwanda na uzalishaji mkubwa kushuka kwa thamani ya shilingi wakati mwingine ni faida kwao kwani huchochea uuzwaji wa bidhaa nje ya nchi huku ikidhoofisha uingizwaji wa bidhaa ndani ya nchi.
(2)Kushuka kwa thamani ya shilingi kulinganisha na Dolar.
Kama tujuavyo dola huhitajika kwaajili ya manunuzi nje ya nchi.Kama hifadhi ya dolar zilizopo ndani ya nchi ni chache kuliko mahitaji yake yaani kutosheleza mahitaji ya manunuzi yanayo hitajika nje lazima tsh itashuka thamani against dolar.
Ilishawahi tokea Dola ziliadimika kiasi chakuvuruga safari za watu.Wengine hulazimika hata kuongeza kidau wenyewe ili tu waweze kwenda na ratiba zao.
Lakini pia pia Dolar yenyewe kuimarika thamani yake mfano mzuri ni sasa ambapo tunaona nchi nyingi shilingi zao zimeshuka thamani ukilinganisha na Dolar kutokana na dolar yenyewe thamani yake kuimarika.
Fedha Ni bidhaa ambayo kiujumla hutumika katikati ya miamala mingine, (kwa maana kwamba unatafuta fedha ili kuhifadhi nguvu yako ya kimanunuzi, manunuzi tunayafanya pale matamanio yetu yanapoizidi thamani fedha tunayomiliki, kwa mfano:- unamiliki tsh 20,000/=, sokoni Kuna kiatu kinauzwa tsh 20,000/=, matamanio ya kiatu yanapoizidi thamani fedha ndipo unapoamua kutoa fedha iliyopoteza thamani ili upate kiatu. Na thamani ya fedha ipo kwenye upatikanaji wake!, fedha inapokuwa nyingi kwenye mzunguko thamani yake hushuka Na ndipo hapo fedha nyingi hutumika kununua mahitaji kidogo, Na fedha inapopungua kwenye mzunguko thamani yake hupanda Na hapo fedha kidogo hutumika kununua bidhaa nyingi. Kitu kinachotumika kuthibiti thamani ya fedha kwenye mzunguko Ni sera za kifedha za benki kuu (monetary policy)(kwa mfano:-RIBA), Na sera za kibajeti(fiscal policy), riba inapopanda wafanyabiashara wanapunguza kukopa Na kuwekeza, pia serikali inapoongeza makusanyo yakodi hivyo fedha kwenye mzunguko/kupunguza matumizi, riba ikishuka wafanyabiasha hukopa zaidi na/au serikali ikipunguza kodi kodi/kuongeza manunuzi fedha huongezeka kwenye mzunguko hivyo thamani yake hushuka!. Hii Ni kwa mzunguko wa ndani.
Kwa mzunguko wa nj'e fedha huuzwa dhidi ya fedha ya nchi nyingine kutegemeana Na mahitaji. Tunapomiliki (kwa mfano US dollar) nyingi baada ya kuuza bidhaa zetu nj'e mahitaji yetu kwa US dollar hupungua hivyo thamani ya fedha yetu hupanda dhidi ya US dollar , lakini tunaponunua bidhaa nyingi kutoka nj'e mahitaji yetu kwa US dollar huongezeka hivyo thamani yake hupanda dhidi ya fedha yetu, Na kinyume chake Ni hivyohivyo!. Wenye ujuzi zaidi wataongezea/kosoa nipopungua/kosea!, Nawasilisha.
Kuna namna mbili zinazohusiana na thamani ya fedha moja dhidi ya nyingine:-Shukran tena kwenu wakuu, kwa kueleza vzr ila hebu nielimishini hapa zaidi
Je, ni nan anahusika hasa na kupanga thamani pale hela moja inaposhuka thamani dhidi ya mwenzie? mfano dollar moja iwe labda ni sh. 2000, euro iwe ni sawa labda na 3000. Je, ni watu wenyiwe wanavyoamua kupandisha bei au inakuaje?