Kitu gani huwa kinaishikilia reli ardhini?

Process ya ujenzi
1. Kuweka kifusi na kukishindilia
2. Zinapigwa hizo beam za zege
3. Zinafungwa izo reli
4. Inawekwa kokoto kupunguza mmomonyoko wa udongo na mtikisiko.
Hayo mazege yanawekwa tu juu ya kifusi kilichoshindiliwa na hayafungwi na kitu zaidi ya taaluma kufungwa juu yake?
 
Uzito wa reli yenyewe na mataruma, vikishindiliwa na kujazia kokoto.
 
Ardhi ndo msingi mkuu wa kubeba reli isihame au kutitia,uzito wa mataluma,zege na reli yenyewe pia.
ila nje ya hapo najua kuna maelezo ya kitaalam zaidi tusubiri wabobezi waje🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…