Huwa inanishangaza haswa katika siasa, wagombea warefu wanavyopewa sifa na kuonekana bora zaidi kuliko wafupi. Kana kwamba kwa namna fulani wao ni wa kiume zaidi, na wenye nguvu kwa sababu tu ya hizo inchi chache za ziada za urefu. Chukua kwa mfano mgombea urais wa Marekani Ron DeSantis, pichani hapa chini.
Ron DeSantis ana urefu wa takriban inchi 5′8″ au 5′9″ lakini huvaa viatu ambavyo vinaongeza urefu wa inchi chache. Kwa hivyo, anaonekana kuwa takriban 5′11″
Tazama picha hapo juu - rais wa Urusi Vladimir Putin akiwa na Xi Jinping wa China. Xi huvaa viatu vyenye kisigino cha kawaida na ana urefu wa wa 5′11″. Putin na ufupi wake, huvaa viatu vyenye visigino virefu kiasi ili kubusti urefu wake, hata hivyo bado anaonekana mfupi sana kuliko rafiki yake wa China.
Urefu ndio kitu pekee ambacho huwakosesha kujiamini watu wengi walio maarufu na wasio maarufu pia!