FRANC THE GREAT
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 5,500
- 8,060
Hili tatizo la leo hata uki restart simu haliondoki.Kama Wiki mbili zilizopita tatizo hili liliikumba pia simu yangu. Niliandika hadi uzi jukwaa la teknolojia.
Nilipoi-restart simu kila kitu kikawa sawa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ipo moja inaitwa Telegram hii ni safi sanaHakuna mtandao wa hovyo kama wasap, watu wanapoteza muda kutumiana jumbe na vitu vya kipuuzi, sitaki kabisa kutumia huo mtandao hasa baada ya kugundua kuna wale viherehere wanaokuunga kwenye ma group bila ridhaa yako.
Kwa wengine bado hali ni tete!Nilishindwa kutuma picha, ila mida hii ipo ok.
Yeah! Meseji haziingii wala kutoka.Hata mm niliona hio msg hazikwenda kbs
Ndiyo, kuna baadhi ya matoleo ya simu hususani ya zamani yalizuiliwa kutumia WhatsApp, hilo linafahamika.Mimi simu moja ninayotumia haina shida ila kuna Tecno ambayo ina WhatsApp groups ilikataa tangu January 4 nikajua ni simu kimeo tu nikaachana nayo
Sent using Jamii Forums mobile app