round kick
JF-Expert Member
- Feb 3, 2025
- 933
- 3,051
Point namba 2 nakazia, form 6 wengi sana wanaoingia chuo hawana exposure ya kujua cha kusomea kitaaluma, vyuo vinatumia udhaifu huu kuweka kozi za ajabu, utasikia Insurance, arts in philosophy, gender, n.k. watu wanaenda tu ilimradi wawe na degree bila kujali kozi.Mahitaji ya Soko la Ajira Lilivyo.
Lakini pia, Watoto wengi hawako exposed na Maisha baada ya Advance au Uwanda wa courses ulivyo hivyo wanafanya un informed desicions
Ni kozi inayoangukia kote kwenye Kilimo na AfyaHuman Nutrition haipo kwenye Kilimo tena hii ipo kweli Afya